Author name: admin

Benson Walter Minja amezaliwa tarehe 18 May 1994 Rhotia Wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha. Ana taaluma ya utabibu (Clinical medicine), elimu ya afya umma (Bachelor of Public Health)na elimu ya ujasiriamali. Pia amekua akijihusisha na biashara mbalimbali tokea 2014 katika sekta ya kilimo na usafirishaji. Mnamo June 2023 aliweza kuanzisha na kusajili kampuni yake iliyofahamika kama Ben Royal Company Limited enye makao makuu yake Wilayani Karatu na inajishughulisha na mambo kadhaa ikiwemo kilimo, ufugaji, uuzaji na usambazaji wa vinywaji na uzalishaji wa vinywaji na chakula. Benson amekua msaada kwa watu mbalimbali ikiwemo watoto wenye uhitaji maalumu na amekua akijihusisha katika shughuli mbalimbali za kusaidia makundi hayo.

KEOnline DIGITALLY FIT AWARDS 2024

Benson Minja, CEO & Founder at Ben Royal Company Limited have been nominated for this year’s top digitally fit awards. Honored to represent Tanzania & East Africa at KEOnline’s Top Digitally Fit Awards. With your vote, let’s propel digital innovation and empowerment forward together. Thank you for your support!here is the link to vote: https://keonline.biz/business/voting/category/1435

Scroll to Top